Baada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto Mfalme ajulikanye kama Maha ndiye anayetarajiwa kumrithi Baba yake, pichani ni Mfalme mtarajiwawa Thailand!
Mtoto wa Mfalme akisubiriwa kushuka kwenye Ndege!
Mtoto Mfalme akilakiwa na Wana Usalama wa Thailand! Mfalme mtarajiwa wa Thailand! Wakati wa uhai wake Mfalme wa Thailand !
0 comments:
Post a Comment