https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Thursday, November 17, 2016

Barcelona wapata wadhamini wapya kutoka Japan

Klabu ya Barcelona imeingia mkataba mpya na kampuni ya Rakuten ya Kijapan kwa ajili ya kudhamini timu hiyo kwa miaka minne.
3a71e07400000578-3941760-image-a-100_1479304319068

3a71e0cb00000578-3941760-image-a-108_1479306171806
Rakuten ni kampuni ya kuuza bidhaa kupitia mtandaoni wameingia mkataba na Barcelona wenye thamani ya pound milioni 200 ambazo ni zaidi ya bilioni 540 za kitanzania ni kampuni ya uuzaji wa vitu online kupitia tovuti yao na websites yao ni ya 11 kwa uingizaji mapato duniani, kwa jina jingine wanajiita kama “Japan’s Largest Internert Shopping Mall
3a71df0900000578-3941760-image-m-87_1479303365944
Kuanzia msimu ujao, jezi za Barcelona zitakuwa na nembo ya Rakuten kifuani badala ya Qatar Airways ambalo ni shirika kubwa zaidi.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>