https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810
  • Home
  • About
  • Support
  • Contact
  • Advertise

SAYARI 360

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

  • Home
  • michezo
  • elimu
  • afya
  • habari
Menu
  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

Tuesday, October 25, 2016

Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho

 Unknown     9:56 AM     habari     No comments   


Mtu wangu kila siku mataifa makubwa na madogo duniani hushindana kujenga misingi imara ya elimu bora. Jambo hilo limefanya ushindani kuwa mkubwa zaidi kwenye elimu za Vyuo vikuu. October 25, 2016 zimetoka ripoti za Vyuo Vikuu bora zaidi duniani na Chuo kikuu cha Oxford kimefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye list hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya Times Higher Education Rankings hii inakuwa mara ya kwanza kwa Chuo Kikuu cha nje ya Marekani kushika nafasi ya kwanza kupitia list hiyo.
https://www.ucl.ac.uk/human-evolution/news/oxford-university-view
Majengo ya Chuo Kikuu cha Oxford
List imeonesha Vyuo Vikuu 980, vilivyowakilisha kwa asilimia tano tu 5% ya taasisi bora za elimu ya Vyuo Vikuu. Zimetajwa pia nchi 79 zilizoingiza vyuo bora.
Amerika Kaskazini kwa upande wake imeingiza vyuo vingi zaidi kwenye list hii. Na inaelezwa kuwa kwa takribani miaka 12 hakukuwahi kuwa na chuo chochote kutoka nje ya Marekani kilichofanikiwa kuingia kwenye top 10 ya vyuo.
Inatajwa kuwa kwa mwaka huu 2016, Marekani pekee imeingiza vyuo vikuu bora 148, huku vyuo 63 vikiwa kwenye list ya top 200.
Bara la Ulaya
United Kingdom, imeingiza vyuo 91, wakati nchi za Ujerumani, Italy, Ufaransa na Hispania zina jumla ya vyuo 26 kwenye list. na kwa mujibu wa Times Higher Education notes, Bara la Ulaya limeanza kushuka nafasi zake na kupitwa na nchi za bara la Asia.
Bara la Asia

Bara la Asia limeingiza jumla ya vyuo 289 kutoka nchi 24, na vyuo 19 viko kwenye list ya top 200, ikiwa imepanda kutoka nchi 15 mwaka 2015. Nchi nyingine kama Singapore,China, Japan, Hong Kong na Netherlands pia zimetajwa kuwa na vyuo vikuu venye elimu bora zaidi duniani.

Share:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
← Newer Post Older Post → Home

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Popular Posts

  • New AUDIO | Maromboso - Nitulize | Download
    DOWNLOAD

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>