| Marehemu Haji Jumbe kwa jina la usanii Mr. Benson akiwa na familia yake mke wake Linda na Mtoto wake Alex katika igizo la Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA
Mr. Benson ameigiza kama Mume aliyesalitiwa na Mke wake. Aliamini kuwa ana mtoto mkubwa kumbe mke wake alimsaliti na rafiki yake.
Mazishi yatafanyika Jumanne Tarehe 25 October 2016 Saa 9 Alasiri Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
INALILAHI WAHINALILAHI ROJIUN |
Tuesday, October 25, 2016
breaking news....Muigizaji Haji Jumbe ( Mr. Benson) wa Tamthilia ya Siri za Familia afariki
Muigizaji Haji Jumbe, ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika tamthilia ya Siri za Familia inayorushwa na EATV amefariki Jumatatu jioni katika Hospitali ya Kinondoni kwa Dr. Mvungi. Siku chache zilizopita alikuwa anasumbuliwa na tumbo.
0 comments:
Post a Comment