https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Monday, October 10, 2016

Wezi wawili nchini marekani wakiona cha mtema kuni

Katika tukio lililoteka hisia za watu wengi huko Florida Marekani, wezi wawili mashuhuri Garfield Morgan (54) na mwenzie Kim Gorton (36) wamelionja joto la jiwe baada ya kuvunja nyumba ya mtu ambae hawakujua kuwa ni mbakaji maarufu(gay rapist) afahamikae kwa jina la Harry Garrington aka [B]the wolfman[/B].

Wezi hao walivunja nyumba ya the Wolfman na kuzama ndaini, na kilichowakuta humo ndani hawatakuja kukisahau maishani kamwe. Harry Garrington 'the wolfman' mwenye kilogram 137 za misuli (pure muscle) na urefu wa ft 6'7" aliwadhibiti kirahisi vibaka hao wawili na kisha kuwafanya mateka wake ambao aliamua kuwanajisi kwa siku tano mfululizo.

Kelele za vilio vya majonzi na maumivu kutoka kwa hao wezi zilivuta hisia za majirani wa karibu na hilo eneo ambao waliamua kuwapigia simu polisi. Mlawiti na wezi waliolawitiwa wote walitiwa nguvuni huku 'the wolfman' akikabiliwa na kesi ya ubakaji: na waliobakwa pia wanakabiliwa na kesi ya kuvunja nyumba na kujaribu kufanya wizi. (kweli kabla hujaenda kufanya uhalifu sehemu ni muhimu kufanya utafiti mapema).


Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>