MAAJABU ZANZIBAR.
wakaazi wa jumbi wilaya ya kati Unguja wiki 2 baada ya mazishi, na kugundua mtu aliezikwa yupo mtaani anaonekana ktk mazingira ya kutatanisha, wameamua kuenda kulifukua kaburi na kukutana na majanga haya.
Ni mzigo wakuni na matambara. Onamambo ya Dunia wewe unasemaje?
Dunia ina mambo
ReplyDelete