https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Friday, October 7, 2016

fahamu michezo minne hatari zaidi duniani kucheza

Michezo ni moja kati ya vitu vinavyochangia kugawa ajira zaidi duniani, licha ya kuwa mchezo huwafanya watu kuwa matajiri pasipokuwa na elimu, michezo yote duniani inatajwa kuwa sio rahisi kuicheza  naomba nikusogezee michezo mitano hatari duniani.

1- Mbio za kukimbizana na Ng’ombe (Bull Running) huu ni moja kati ya michezo maarufu sana nchini Hispania, ila ni moja kati ya michezo hatari zaidi, kwani imeshawahi kuchukua uhai wa binadamu licha ya kuwa hata soka tumewahi kuona watu wa kipoteza maisha ila huu ni mchezo ambao hushauriwi kuucheza
 http://l7.alamy.com/zooms/1f96be5422854fe583d7ecbfad6fde6a/epa02240865-a-mozo-or-runner-is-gored-by-a-bull-at-the-bull-ring-during-fn50xj.jpg

          2. Base Jumping huu ni mchezo ambao unachezwa sehemu yenye jengo refu au hata kama ni mlima ila sehemu ambayo wachezaji wa mchezo huo wanaweza kuitumia, ila ajali au bahati mbaya za mchezo huu zinaweza kuchukua maisha ya mwanadamu.     
     
                   
Image result for base jumping 

3.  Street Luge huu ni mchezo ambao sidhani kama Afrika kuna sehemu wanaucheza huenda ni kutokana na miundombinu ila inatajwa kuwa ni moja kati ya michezo ambayo sio salama sana kushiriki.

Image result for street luging

4.Heli-skiing huu ni mchezo ambao unachezwa sehemu zenye barafu ila katika mtandao wa wonderslist.com umetajwa kama mchezo hatari kucheza.

 Image result for heli skiing

0 comments:

Post a Comment

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>