Michezo ni moja kati ya vitu
vinavyochangia kugawa ajira zaidi duniani, licha ya kuwa mchezo
huwafanya watu kuwa matajiri pasipokuwa na elimu, michezo yote duniani
inatajwa kuwa sio rahisi kuicheza naomba nikusogezee
michezo mitano hatari duniani.

2. Base Jumping huu ni mchezo ambao unachezwa sehemu yenye jengo refu au hata kama ni mlima ila sehemu ambayo wachezaji wa mchezo huo wanaweza kuitumia, ila ajali au bahati mbaya za mchezo huu zinaweza kuchukua maisha ya mwanadamu.
3. Street Luge huu ni mchezo ambao sidhani kama Afrika kuna sehemu wanaucheza huenda ni kutokana na miundombinu ila inatajwa kuwa ni moja kati ya michezo ambayo sio salama sana kushiriki.
4.Heli-skiing huu ni mchezo ambao unachezwa sehemu zenye barafu ila katika mtandao wa wonderslist.com umetajwa kama mchezo hatari kucheza.
0 comments:
Post a Comment