https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Friday, October 28, 2016

Alikiba aelezea ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz


Ni October 28, 2016 ambapo mkali kutoka Bongo Flevani, Alikiba amefunguka na kuweka wazi ujio wa single mpya aliyoshirikishwa na Ommy Dimpoz iitwayoKajiandae.
Staa huyo akizungumza kwenye kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa kupitia Clouds TV aliyaongea haya>>>>Kiukweli kwanza ni wimbo mzuri pili maandalizi ya video hiyo tayari tumeshafanya na jina la wimbo unaitwa Kajiandae kwahiyo mashabiki wangu na mashabiki wa Ommy Dimpoz wakati wowote watapata ladha nzuri tu kwani najua ni kitu gani mashabiki wa muziki wangu wanachokitaka kutoka kwangu’
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>