Paul Pogba kwenye mazungumzo yake na kitu cha Sky Sport amezungumza kuhusu maisha yake ya utotoni hadi anafika kuwa mmoja ya wachezaji wa gharama duniani.
Paul Pogba aliulizwa kuhusu maisha yake enzi zake wakati anakua alivyotenganisha maisha ya mahusiano na soka. Pogba alijibu hivi,” Sikua ninajihusisha na wasichana wakati nakua. Kila kitu kwangu ilikua ni soka tu. Nilikua na enjoy kucheza soka muda wote. Kulikua na uwanja na wasichana karibu na ghorofa tulilokua tunakaa, mimi nilienda uwanjani tu na nilitaka kuwa hapa nilipo. Sikutaka kuwa mtu yoyote zaidi ya kuwa mcheza soka”.
Tangu arudi Manchester Pogba amehusishwa sana kuwa na uhusiano na model Chantel Jeffries ambaye ni ex wa Justin Bieber.
0 comments:
Post a Comment