https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Wednesday, November 2, 2016

Mfalme mteule wa Thailand kuthibitishwa Desemba mosi

Mwana mfalme Vajiralongkorn
Mwana mfalme Vajiralongkorn
BBC imetaarifiwa kwamba mfalme mteule mtarajiwa wa Thailand Vajiralongkorn atathibitishwa rasmi kama mfalme ajaye mnamo Desemba mosi.
Mwana wa mfalme huyo ambaye pia ni mfalme mtarajiwa alitarajiwa kupakwa mafuta na kutawazwa katika kipindi ama baada ya maziko ya babake , mfalme King Bhumibol Adulyadej, aliyefariki wiki tatu zilizopita, kutokana na yeye mwenyewe kuomba muda wa  babake.
Vajiralongkorn ana mtoto mmoja wa kiume aliyempata na mke wake wa zamani Srirasmi
Vajiralongkorn ana mtoto mmoja wa kiume aliyempata na mke wake wa zamani Srirasmi
Mpaka sasa haijafahamika wazi, ni uhusiano wa namna gani mfalme huyo mtarajiwa atakuwa nao baina yake na vikosi vya jeshi la serikali ambavyo hivi karibuni vilikuwa vinaiongoza Thailand, ama ni namna gani atapokelewa na raia wake.
Vajiralongkorn katika mbio za baiskeli mwaka 2015
Vajiralongkorn katika mbio za baiskeli mwaka 2015
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>