https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Sunday, October 9, 2016

Taarifa mpya kwa wanachama wa club ya Yanga

Klabu ya Yanga inapenda kuwatangaazia wanachama wote wa Young Africans Sports Club (Yanga) kuwa patakuwa na mkutano mkuu wa dharura siku ya Jumapili ya tarehe 23/10/2016. Wanachama wote mnaombwa kufika bila kukosa ikiwa ni kwa faida na maslahi mapana ya timu yetu. Agenda za mkutano pamoja na mahali mkutano mkuu utakapofanyika mtajulishwa mapema kabla ya siku husika kufika. ‘YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO’ Imetolewa na uongozi – Young African Sports Club.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>