| Son Heung-min mchezaji bora wa mwezi september |
Son Heung-min ambaye ameshinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwezi, amefanikiwa kucheza mechi tatu mwezi September na kufanikiwa kuisaidia Tottenham Hotspurs kushinda mechi zote tatu akiwa kafunga magoli 4 na katoa assist moja.
0 comments:
Post a Comment