Muigizaji wa Marekani, Sylvester Stallone maarufu kwa jina la Rambo amemtembelea bondia Manny Pacquiao kwenye kambi yake ya Wild Card gym ya Hollywood .
Pacquiao yupo nchini Marekani kwa ajili ya pambano lake na bondia Jessie Vargas la WBO uzito wa welterweight ambalo lifanyika Novemba 5 ya mwaka huu mjini Las Vegas.
0 comments:
Post a Comment