https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Friday, October 14, 2016

muziki wa tanzania kweli unalipa....Barakah The Prince aonyesha mjengo wake wa kisasa



Msanii wa muziki, Barakah The Prince ameonyesha mafanikio aliyopata kwenye muziki kwa kujenga nyumba kubwa yenye vyumba 5 huku nje akiwa ameweka sehemu ya kuogelea (Swimming Pool).

final


Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Nisamehe’ akiwa amemshirikisha AliKiba, amesema kwa sasa hawezi kuweka wazi gharama ya nyumba hiyo mpaka itakapo kamilika.
“Namshukuru sana mke wangu Naj kwa sababu ana mchango mkubwa sana hadi hapa nilipofika pia kwa sasa siwezi kutaja fedha ambayo nimeitumia hapa kwa sababu ni hela nyingi sana hadi sasa na kama unavyoona nyumba bado haijaisha kwa hiyo nikimaliza kila kitu nitasema ni shilingi ngapi nimetumia,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha Enewz cha EATV.
Pia msanii huyo aliongeza kwa kusema hivi karibuni anatarajia kufunga ndoa na penzi wake Naj baada tu ya kumaliza mjengo wake huo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>