Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
imeendelea tena usiku wa October 19 2016 kwa michezo nane tena kuchezwa
kama iliyochezwa usiku wa October 18, mchezo wa Man City dhidi ya FC
Barcelona katika dimba la Nou Camp ulikuwa ndio mchezo ulioteteka hisia
za mashabiki wengi.
Mvuto wa mchezo huo ambao ulimalizika
kwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara 5 Lionel Messi
kufunga hat-trick, ulikuwa unazikutanisha FC Barcelona dhidi ya kocha
wao wa zamani Pep Guardiola mbaye kwa sasa ndio anaifundisha Man City.
0 comments:
Post a Comment