https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Friday, October 14, 2016

Lionel messi matatizoni tena.. anatuhumiwa kuzuia mchezaji mwenzake asiitwe timu ya taifa

Timu ya taifa ya Argentina inatajwa kuwa katika nafasi mbaya ya kuwania kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018 Urusi, hiyo inatokana na Argentina kuwa nafasi ya tano katika msimamo wenye timu 10 huku timu nne za juu ndio zitafuzu.

Kufuatia Argentina kuvuna point mbili katika mechi zao tatu zilizopita, mjadala kutoka katika moja ya vituo vya TV Argentina umetoa madai tofauti kutokana na urafiki wa Lionel Messi na kocha wa timu yao ya taifa ambao umetajwa kuwa Messi amemshawishi kocha asimuite Mauro Icardi kikosini licha ya kuonesha uwezo mkubwa akiwa na Inter Milan.
lavanguardia_g_874703504-k7ub-u301455491366e5b-992x558lavanguardia-web
Maxi Lopez kushoto akiwa na Lionel Messi wakati wakiwa FC Barcelona
Urafiki wa karibu wa Messi na mchezaji mwenzake wa zamani wa FC Barcelona  Maxi Lopez ambaye ana ugomvi na Mauro Icardi kutokana na kuwa alimpokonywa mke, hivyo Messi anatajwa kutovutiwa na kitendo hicho na kumshawishi kocha asimuite Icardi, Mauro Icardi ameichezea Argentina kwa dakika 8 tu, hivyo wengi walitamani kumuona akiongeza nguvu.
0012709961
Mauro Icardi akitoka na Maxi Lopez akiingia hii ilikuwa wakati wanachezao wote Sampdoria
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>