https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Wednesday, October 12, 2016

Kylie Jenner: Niliongeza ukubwa wa lips zangu sababu nilihisi hakuna mwanaume angependa kunibusu

Kylie Jenner amesema aliamua kuongeza ukubwa wa lips zake kwasababu hakuwa akijiamiani.

394f4baa00000578-3832810-image-a-12_1476202584334
Mrembo huyo mwenye miaka 19, ameliambia jarida la Complex kuwa alikuwa na wasiwasi kuhusu wavulana kumbusu kwasababu aliona kuwa lips zake zilikuwa nyembamba mno.
394eb93500000578-3832810-image-a-49_1476199451442
“Huo umekuwa ni wasiwasi katika maisha yangu yote,” alisema.
394f4b7a00000578-3832810-image-a-14_1476202597961


Alikumbushia kwenye mahojiano hayo jinsi mvulana aliyekuwa anasoma naye alivyomuambia kuhusu lips
zake. “Huyu mvulana niliyembusu alisema ‘Lips zako ni ndogo sana lakini unabusu vizuri.’ Sikudhani utakuwa mzuri katika kupiga busu.”
394f4b7f00000578-3832810-image-a-10_1476202546430

“Iliniuma sana,” alisema Kylie. “Kuanzia hapo, nilianza kuhisi kama naona wanaume wakiangalia lips zangu. Nilihisi kama hakuna mwanaume ambaye angenibusu.”

394f4b8d00000578-3832810-image-a-16_1476202608580
394f4ba200000578-3832810-image-a-11_1476202554908
394f4b8600000578-3832810-image-a-13_1476202588695
394f4b9400000578-3832810-image-a-15_1476202603337
Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>