https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Saturday, October 29, 2016

Kweli Dunia ina mambo tazama picha za wanyama za kuchekesha zaidi 2016

Mbweha
Huu hapa ni mkusanyiko wa picha za kuchekesha na kusisimua za wanyama zilizopigwa mwaka huu, miongoni mwa picha hizi ikiwa moja ya mbweha aliyeingia kichwa kwanza kwenye theluji na nyingine ya nyati aliyegeuzwa choo na ndege mmoja.
Picha hizi zimeteuliwa kushindania tuzo ya picha za ucheshi za wanyama mwaka huu.
Shindano hili huandaliwa kuchangisha pesa na kusaidia shirika la kutetea uhifadhi wa wanyama la Wakfu wa Born Free.
Kuna jumla ya picha 40 na mshindi atatangazwa mwez Novemba.


Hapa ni baadhi ya picha hizo.

Pundamilia
Picha za wanyama
Picha za wanyama
Umewahi kukutana na sungura mwenye madoido?
Picha za wanyama
Unapojifanya huna kichwa na huoni yanayoendelea ... kama penguini hawa?
Picha za wanyama

Kupata lifti halisi..

Picha za wanyama

Unapojaribu kumuonesha mwenzako kucha zako zilivyopambwa, mwenzako hana haja...

Picha za wanyama

Siku ambayo mambo hayaendi sawa, dubu huyu anashindwa kumnasa samaki...

Picha za wanyama

Unapojificha na kuvunja ahadi yako ya kutokula sana ili usiongeze uzani


Picha za wanyama

Ukifanya kazi Jumatatu baada ya starehe nyingi wikendi

Picha za wanyama

Unapofuatilia umpendaye, na hutaki akuone

Picha za wanyama

Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>