| Maandamano baada ya muuza samaki kukanyagwa na lori hadi kufa nchini Morocco |
raia wa Morocco walifanya maandamano wikendi hii katika miji kadhaa baada ya muuza samaki mmoja kukanyagwa hadi kufa na lori la kubeba takataka alipokuwa akijaribu kuchukua samaki wake ambao alikuwa amepokonywa na maafisa wa polisi.
0 comments:
Post a Comment