https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Tuesday, October 18, 2016

Kelele za Pogba na mpenzi wake zawachosha majirani

Star wa Manchester United Paul Pogba amepigwa dongo na gazeti la The Sun baada ya kuandikwa kwamba si jirani mwema.
Tangu aliporejea aliporejea Old Trafford kutoka Turin katika usajili uliopita wa majira ya joto, Pogba anaishi kwenye hotel inayofahamika kwa jina la Lowry Hotel.

Kiungo huyo ghali zaidi duniani amekuwa akilaumiwa kutokana na kelele zinazotokana na kufanya mapenzi ambazo zimekuwa ni usumbufu kwa majirani zake wanaoishi kwenye hotel hiyo.

Inasemekana Pogba amezama kwenye dimbwi la mapenzi na mwimbaji wa Afrika anajulikana kama Dencia.

Part ya nyota huyo wa Manchester United Paul Pogba iliwafanya wageni wa hotel hiyo kushindwa kulala kutokana na kelele zitokanazo na kufanya mapenzi “loud sex moans” zilizokuwa zikitoka chumbani kwake.

Inadaiwa kwamba, kwa sasa kelele hizo zimekuwa zikisikika kati ya saa 9 na saa 10 alfajiri.
Kelele hizo za Pogba na mwanadada mwimbaji wa kiafrika zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa wageni wengine waliopo kwenye hotel hiyo.

Story hiyo ambayo imeanzia kwenye gazeti la udaku halijataja jina la mtu aliyevujisha mchapo huo.

Ila chanzo cha habari hiyo kilisema kwamba, “kelele hizo zimekuwa zikifanana na zile sinema za ngono ‘porn movies’. Mara kadhaa tumekuwa tukisikia Paul akilalamika huku akiita babe, hali hiyo ilisababisha usumbufu mkubwa.”


Share:

0 comments:

Post a Comment

Propellerads

UNGANA NA SISI HAPO CHINI

Search This Blog

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Text Widget

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>