https://go.ad2upapp.com/afu.php?id=897810

KWA HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA MICHEZO MUZIKI BURUDANI NA AFYA KILA SIKU

Sunday, October 9, 2016

INSTAGRAM: Baraka hajapenda Stan Bakora anavyomuigiliza kwa weusi wake

Baada ya mchekeshaji Stan Bakora kuirudia ngoma ya Baraka The Prince, mdundo wa ‘Nisamehe‘, Baraka ameiona video yenyewe na imeonekana hajapendezwa na ndio maana kwenye Instagram kaamua kumpa Stan Bakora onyo.
Maneno ya Baraka The Prince ‘Matani ni mazuri ila yakizidi yanaweza kuleta matatizo… heshima ichukue nafasi yake tafadhali mzee utani huu sijaupenda iwe mwanzo na mwisho tafadhaliscreen-shot-2016-10-09-at-11-38-23-pm

0 comments:

Post a Comment

http://go.ad2upapp.com/afu.php?id=917347

Copyright © SAYARI 360 | Powered by Blogger

//]]>